Skip Marley Minto (amezaliwa 4 Juni 1996) ni mwimbaji kutoka Jamaika. Yeye ni mtoto wa Cedella Marley na David Minto na mjukuu wa Bob Marley na Rita Marley. Amepokea uteuzi wa tuzo mbili za Grammy na uteuzi wa tuzo ya MTV Video Music.[1][2][3]

Marley mwaka 2022.


Marejeo

hariri
  1. Kellman, Andy. "Skip Marley Biography, Songs, & Albums". AllMusic. Iliwekwa mnamo 21 Septemba 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Gaddis, Anicée (28 Oktoba 2015). "Meet Skip Marley: The Newest Musician From the Marley Clan". Vogue. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-24. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "SKIP MARLEY – Island Stage". Island Stage. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 17 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 1 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)