Sofiane Alakouch
Sofiane Alakouch (Kiarabu: سفيان علكوش; amezaliwa 29 Julai 1998) ni mchezaji wa soka anayecheza kama right-back katika klabu ya Ligue 2 ya FC Metz.[1] Amezaliwa nchini Ufaransa, anachezea timu ya taifa ya Morocco.
Kazi
haririAlakouch alihamia Metz kwa mkataba wa miaka minne.[2] Tarehe 15 Februari 2022, alihamia Lausanne-Sport nchini Uswisi kwa mkopo hadi mwisho wa msimu.[3]
Marejeo
hariri- ↑ Kigezo:Soccerway
- ↑ "Sofiane Alakouch est Grenat !" (kwa Kifaransa). Metz. 21 Julai 2021.
- ↑ (in fr) SOFIANE ALAKOUCH EST LAUSANNOIS! (Press release). Lausanne-Sport. 15 Februari 2022. https://www.lausanne-sport.ch/sofiane-alakouch-est-lausannois/. Retrieved 15 Februari 2022.
Viungo vya nje
hariri- Wasifu wa Ufaransa kwenye FFF
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sofiane Alakouch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |