Soroti
Soroti ni mji mkuu wa Wilaya ya Soroti nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 56,400.
Soroti | |
Mahali pa mji wa Soroti katika Uganda |
|
Majiranukta: 01°42′54″N 33°36′40″E / 1.71500°N 33.61111°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Mashariki |
Wilaya | Soroti |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 56,400 |
Tazama pia
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Soroti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |