Spud ni filamu ambayo iliiigizwa huko afrika kusini 2010 ambapo jina la Spud alipewa mwanafunzi mmoja katika shule ambayo alikuwa anasoma ambapo jina lake ni [John Milton]Spud ikimaanisha kwamba hajabalehe. Ambapo jina hilo alipewa na marafiki zake alivyo kuwa anaoga https://en.wikipedia.org/wiki/File:Spud250.jpg