Pierre Jean Stéphen Boyer (Alizaliwa 10 Aprili 1996) Ni mcheza mpira wa wavu mwenye asili ya ufaransa, mwanachama wa wa timu ya Taifa la Ufaransa ya wanaume wacheza mpira wa kikapu, 2020 walikuwa mabingwa wa olimpiki, 2017 walichukuwa medali ya dhahabu ya ligi ya mabingwa[1]. Kwenye level ya klabu, alichezea Jastrzębski Węgiel, 2017 Walikuwa mabingwa wa Ufaransa[2][3][4][5].

Mchezaji wa Mpira wa wavu Stéphen Boyer
Mchezaji wa Mpira wa wavu Stéphen Boyer

Maisha ya Kazi. hariri

2017, Boyer aliteuliwa kuwa mwanachama wa timu ya mpira wa wavu ya Taifa la Ufaransa kwa ajili ya FIVB ya ligi ya Kidunia na kocha mkuu Laurent Tillie[6]. Ilipofika 9 Julai 2017 Ufaransa, akiwemo Stéphen Boyer, ilishinda Ligi ya dunia baada ya kumshinda Brazili kwenye fainali[7].

Mafanikio ya Kimichezo. hariri

Vilabu[hariri] hariri

  • Kombe la ushindani CEV
  • Mashindano ya Mabingwa ya Kitaifa.
    • 2016/2017  Mashindano ya Ushindani Ufaransa, akiwa Chaumont VB 52[9].
    • 2017/2018  Mashindano ya Ushindani Ufaransa, akiwa Chaumont VB 52[10].
    • 2020/2021  Mashindano ya Emir akiwa Al Rayyan[11].
    • 2021/2022  Mashindano ya Ushindani Polish, akiwa Jastrzębski Węgiel.

Tuzo za mmoja mmoja[hariri] hariri

  • 2016: Mashindano ya Ushindani Ufaransa – Mpinzani Bora[12].
  • 2017: Mashindano ya Ushindani Ufaransa – Mchezaji mwenye thamani zaidi.
  • 2018: Mashindano ya Ushindani Ufaransa – Mchezaji mwenye thamani zaidi.
  • 2018: Mashindano ya Ushindani Ufaransa– Mpinzani Bora.

Marejeo. hariri

  1. "Olympic News - Sports News, Events & Athletes". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  2. WoV (2018-05-22). "FRA M: Chaumont say goodbye to Boyer, sign Spanish blocker and Slovak setter". WorldOfVolley (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  3. https://www.legavolley.it/2018/frenchman-boyer-with-verona/?lang=en
  4. "Stephen Boyer rejoint le club d'Al-Arabi, au Qatar". L'Équipe (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  5. "Stephen Boyer dołącza do Jastrzębskiego Węgla! [WIDEO]". Oficjalna strona Jastrzębskiego Wegla. 2021-06-01. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  6. "FIVB World League 2017 - News detail Group 1 - Stephen Boyer helps France become undefeated in Kazan - FIVB Volleyball World League 2017". worldleague.2017.fivb.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  7. "FIVB World League 2017 - News detail Group 1 - France crowned for the second time in FIVB Volleyball World League - FIVB Volleyball World League 2017". worldleague.2017.fivb.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  8. https://www-old.cev.eu/Competition-Area/CompetitionNews.aspx?ID=967&NewsID=25332&TagType=0&TagContent=0&NewsType=0&Paging=0&Sd=1/1/1900&Ed=1/1/1900
  9. WoV (2017-05-07). "FRA M: The best team have won the trophy! Historic night for Chaumont!". WorldOfVolley (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  10. "Chaumont, superchampion 2017". CVB 52 (kwa fr-FR). 2017-10-08. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  11. "Al Rayyan rally to emerge HH Amir Cup volleyball champions". Qatar Volleyball Association (kwa en-AU). 2021-04-07. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-12-04. Iliwekwa mnamo 2021-12-04. 
  12. "Chaumont, superchampion 2017". CVB 52 (kwa fr-FR). 2017-10-08. Iliwekwa mnamo 2021-12-04.