Stanley Clarke

Stanley Clarke (amezaliwa 30 Juni, 1951 mjini Philadelphia, Pennsylvania) alikuwa mwanamuziki wa Marekani. Alikuwa anapiga muziki wa jazz.

Stanley Clarke (na George Duke)

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Clarke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.