Steiermark (kwa Kislovenia: Štajerska) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi milioni 1.211 kwenye eneo la km² 16.392 (2013).

Sehemu ya Jimbo la Steiermark
Mahali pa Steiermark katika Austria
bendera ya Steiermark

Mji mkuu ni Graz. Waziri mkuu ni Franz Voves (SPÖ).

Jiografia hariri

Steiermark imepakana na majimbo ya Austria ya Karinthia, Salzburg, Austria Juu, Austria Chini na Burgenland.

Miji mikubwa ni pamoja na Graz na Leoben.

Mur na Enns ndiyo mito muhimu zaidi.

 

Picha za Steiermark hariri

Tovuti za Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg
  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Steiermark kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.