Stella Chesang
Stella Chesang (alizaliwa 1 Desemba 1996)[1] ni mkimbiaji wa mbio ndefu kutoka Uganda. Alishinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2018.[2]
Chesang alipata shaba kwa mbio za mita 5000 katika Mashindano mwaka 2015 ya Vijana ya Afrika chini ya 20. Aliiwakilisha Uganda katika Olimpiki ya Rio mwaka 2016.[3] Ndiye mshikilizi wa rekodi ya Uganda ya mbio za m 10,000 na nusu marathoni.
Marejeo
hariri- ↑ "Stella CHESANG – Athlete Profile".
- ↑ "Chesang wins Uganda's second gold in Australia".
- ↑ "Stella Chesang". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-25. Iliwekwa mnamo 2024-10-23.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stella Chesang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |