Stephen Black

Mwandishi wa Afrika Kusini

Stephen Black (1880 - 1931) alikuwa mwandishi wa habari nchini Afrika Kusini. Hasa aliandika tamthiliya, baadhi yao Love and the Hyphen (1908). Pia alianzisha jarida moja, jina lake The Sjambok (lilitolewa miaka mitatu tu, 1929-1931).

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.