Steve Mullings (alizaliwa 28 Novemba 1982) ni mwanariadha wa zamani wa Jamaika aliyebobea katika mbio za mita 100 na mita 200.

Steve Mullings

Mwaka 2011, alipewa marufuku ya maisha kutokana na kosa la matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni (doping).[1]

Marejeo

hariri
  1. Biography Mullings, Steve. IAAF. Retrieved on 2009-08-14.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steve Mullings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.