Steven Nzonzi

Mchezaji mpira wa Ufaransa

Steven N'Kemboanza Mike Nzonzi (alizaliwa tarehe 15 Desemba 1988) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Hispania Sevilla na timu ya taifa ya Ufaransa.

Steven Nzonzi.

Alianza kazi yake huko Amiens. Alijiunga na Sevilla kwa ada ya £ milioni 7 mwezi Julai 2015, na walishinda Europa League katika msimu wake wa kwanza.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Steven Nzonzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.