Su Xun (kwa Kichina 蘇洵, 22 Mei 1009-21 Mei 1066) alikuwa mwandishi na mwanasiasa nchini China wakati wa Nasaba ya Song.

Su Xun.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Su Xun kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.