Suat Serdar (amezaliwa 11 Aprili 1997) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Schalke 04 ya Ujerumani.

Suat Serdar

Kazi ya klabu hariri

Schalke 04 hariri

Tarehe 17 Mei 2018, Serdar alijiunga na Schalke 04 kwa mkataba wa miaka minne.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suat Serdar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.