Sui iuris
Sui iuris ni msamiati wa Kilatini unaomaanisha lenye sheria za kwake na linatumika hasa katika Kanisa Katoliki kuhusu madhehebu ambayo ndani ya umoja wake yanajitegemea kisheria, yaani Kanisa la Kilatini na Makanisa Katoliki ya Mashariki.
Msamiati huohuo unatumika pia kwa ajili ya misheni chache ambazo ziko katika hatua ya kwanza lakini haziko chini ya dayosisi lolote, bali zinaongozwa na padri kufuatana na sheria za pekee.
Viungo vya nje
hariri- Descrizione del termine sui iuris secondo la Chiesa cattolica siro-malankarese Ilihifadhiwa 21 Julai 2015 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sui iuris kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |