Sunna (pia sunnah, kutoka Kiarabu : سنة, neno linalomaanisha "mila", "mapokeo" au "njia". [1]) Kwa Waislamu, Sunnah inamaanisha "njia ya mtume Muhammad"[2].

Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya

Uislamu

Imani na ibada zake

Umoja wa Mungu
Manabii
Misahafu
Malaika
Uteule
Kiyama
Nguzo za Kiislamu
ShahadaSwalaSaumu
HijaZaka

Waislamu muhimu

Muhammad

Abu BakrAli
Ukoo wa Muhammad
Maswahaba wa Muhammad
Mitume na Manabii katika Uislamu

Maandiko na Sheria

Qur'anSunnahHadithi
Wasifu wa Muhammad
Sharia
Elimu ya Sheria za KiislamuKalam

Historia ya Uislamu

Historia
SunniShi'aKharijiyaRashidunUkhalifaMaimamu

Tamaduni za Kiislamu

ShuleMadrasa
TauhidiFalsafaMaadili
Sayansi
SanaaUjenziMiji
KalendaSikukuu
Wanawake
ViongoziSiasa
Uchumi
UmmaItikadi mpyaSufii

Tazama pia

Uislamu na dini nyingine
Hofu ya Uislamu

Sunan Abi Daud ni mkusaniko wa hadith za Mtume Muhammad ambazo ni msingi wa kuamulia sunna yake

Wasomi Waislamu wanajifunza juu ya Sunna kwa kusoma hadithi elfu kadhaa juu ya Muhammad, familia yake, na wafuasi wake wa kwanza. Haditho hizi zinaitwa Hadith.

Jina la dhehebu kubwa katika Uislamu ni Wasunni, nalo limetokana na neno sunna, kwa maana ni waumini wanaolenga kufuata sunna ya mtume wao.

Marejeo

hariri
  1. Juynboll, G.H.A. (1997). "Sunna". In P. Bearman; Th. Bianquis; C.E. Bosworth; E. van Donzel; W.P. Heinrichs (eds.). Encyclopaedia of Islam. 9 (2nd ed.). Brill. pp. 878–879.
  2. Qazi, M.A.; El-Dabbas, Mohammed Saʿid (1979). A Concise Dictionary of Islamic Terms. Lahore, Pakistan: Kazi Publications. p. 65.

Viungo vya Nje

hariri