Sushruta, au Suśruta (Sanskrit: सुश्रुत) alikuwa daktari wa kale wa India anayejulikana kama mwandishi mkuu wa Ufupisho wa Suśruta (The Compendium of Suśruta) (Sanskrit: Suśruta-saṃhitā). Yeye huchukuliwa kama "baba wa upasuaji".[1]

Sanamu ya Shushruta

Marejeo

hariri
hariri