Sutoku wa Japani

(Elekezwa kutoka Sutoku)

Sutoku (7 Julai, 111914 Septemba, 1164) alikuwa mfalme mkuu wa 75 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Akihito, na alikuwa mwana wa kwanza wa Tenno Toba. Mwaka wa 1123 alimfuata babake, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1142. Aliyemfuata kama Tenno ni mdogo wake Konoe.

Mchoro wa Sutoku

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sutoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.