SW
(Elekezwa kutoka Sw)
Tafadhali saidia kuboresha makala hii kwa kuipanua. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii imetiwa alama tangu tarehe Septemba 2010 |
SW, sw au s/w ni kifupi cha:
Kodi
hariri- Kodi ya IATA ya Air Namibia
- Kodi ya ISO 639-1 ya Kiswahili
- South West (Kiingereza) = Kusini-Magharibi
Sayansi na teknolojia
hariri- Short Wave, aina za redio ambako mawasiliano
- Software (Kiingereza) = bidhaa pepe