Silvestry Fransis Koka

(Elekezwa kutoka Sylvester Francis Koka)

Silvestry Fransis Koka ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kibaha Mjini kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017