Szczecin

Szczecin (kwa lugha ya Kipolandi; kwa Kijerumani: Stettin) ni mji wa saba nchini Polandi kwa wingi wa watu na una bandari katika Bahari ya Baltiki.

Szczecin, Polandi

Mji huo ulikuwa na wakazi 403,274 mnamo Juni 2018.

MarejeoEdit


Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Coordinates: 53°25′57″N 14°32′53″E / 53.43250°N 14.54806°E / 53.43250; 14.54806

  Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Szczecin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.