TV5

mtandao wa televisheni wa Ufilipino

TV5 Network, Inc. (inayojulikana sana kama TV5) ni mtandao wa televisheni na redio wa Ufilipino unaomilikiwa na MediaQuest Holdings, kampuni tanzu ya PLDT. Ilianzishwa mnamo 1960 na Chino Roces.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu TV5 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.