Taşova ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Amasya katikati ya kanda ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki. Mji unachukua eneo la 1041 km² na jumla ya wakazi takriban 57,050 ambao 15,556 wanaishi mjini mwa Taşova.

Ramani ya Taşova,Amasya

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Taşova kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.