Taa ni kifaa kinachotoa nuru kwa kusudi la kuangaza mahali penye giza.

Siku hizi taa nyingi zinatumia nguvu ya umeme unaobadilishwa kuwa nuru.

Zamani taa zilikuwa kwa kawaida vifaa ambako mafuta, gesi au nta zilichomwa. Taa za aina ii ziko bado. Lakini sasa kwa watu wengi ni umeme uliokuwa chanzo cha nuru.

Picha za taa hariri