Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Nigeria
Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Nigeria (kwa Kiingereza: Cocoa Research Institute of Nigeria; kifupi: CRIN) katika Jimbo la Oyo, Nigeria, ni taasisi ya utafiti wa kakao iliyoanzishwa na Serikali ya Shirikisho la Nigeria kupitia Sheria ya Taasisi ya Utafiti ya Nigeria ya 1964. [1] [2] Sheria hiyo ilianzisha taasisi za utafiti wa kakao, mawese, kahawa na kola.
Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Naigeria ilianzishwa ili kukuza na kuboresha uzalishaji ya kakao na bidhaa yake inchini Nigeria na kimataifa. Awali Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Nigeria ilikua sehemu ya Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Afrika Magharibi yenye makao yake makuu Tafo, Ghana.
Kakao na bidhaa yake hutumika kama chanzo cha mapato na ajira kwa wakulima katika majimbo yanayozalisha kakao ya Nigeria.
Kazi kuu ya Taasisi ya Utafiti wa Kakao ya Nigeria ni kufanya utafiti wa ubora wa juu katika kakao, kola, na kahawa na pia kutoa vifaa vya kufundishia na kutafiti na bidhaa hizi za kilimo.
Utafiti
haririTaasisi ya Utafiti wa Kakao ya Nigeria ilitoa aina mpya za kakao mnamo 2013. [3]
Marejeo
hariri- ↑ Allen Kent, Harold Lancour and Jay E. Daily (1 Februari 1977). Encyclopedia of Library and Information Science: Volume 20 - Nigeria: Libraries in to Oregon State University Library. CRC Press. uk. 29. ISBN 978-0-8247-2020-9.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "History of Cocoa Research Institute of Nigeria (CRIN)". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 25 Septemba 2014. Iliwekwa mnamo 25 Septemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Cocoa Research Institute of Nigeria (CRIN) Archives - Independent Television/Radio". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Novemba 2016. Iliwekwa mnamo 31 Oktoba 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |