Tabaruku ni utangulizi wa kitabu au kazi yoyote ile ya fasihi inayoandikwa na mwandishi mwenyewe.

Tabaruku ya shairi la Milton kutoka kwa William Blake.

Insha nyingine yenye maudhui ya kitangulizi huandikwa na mtu, tofauti ni dibaji na huitangulia tabaruku ya mwandishi.

Tabaruku hukaribiana na shukrani kwa watu ambao walisaidia kazi ya fasihi.[1][2]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "preface". Dictionary.com. Iliwekwa mnamo September 18, 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "praefātĭo". Iliwekwa mnamo September 18, 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)

Jisomee hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tabaruku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.