Tai (maana)

(Elekezwa kutoka Tai(Maana))

Tai neno hili la Kiswahili linaweza kumaanisha:

  • Tai (ndege) – Aina ya ndege wanaopatikana porini. Hasa katika hifadhi mbalimbali za wanyama.
  • Tai (mavazi) – Aina ya nguo ambayo huvaliwa juu ya shati kwa kuipitisha katika kola ya shati.
  • Tai (Rorya) - kata ya Wilaya ya Rorya, Mkoa wa Mara, Tanzania
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.