Tajino ni jina la kichwa cha jino katika elimu ya uganga wa meno. Neno limebuniwa kwa kuunganisha maneno "taji" na "jino" [1].

Nafasi ya tajino kwenye muundo wa jino

Sehemu ya tajino inafunikwa kwa enameli ya jino ambayo inafanya uso mgumu wa jino wenye kazi ya kutafuna vyakula.

Kama tajino imeharibika daktari wa meno anaweza kuitengeza kwa kuongeza tajino bandia akitumia aina za saruji ya meno kama maligamu au metali. [2]

Tanbihi hariri

  1. tazama KAST
  2. "American Dental Association Crown and Bridge". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-02. Iliwekwa mnamo 2013-10-29. 

Marejeo hariri

  • Ash, Major M. and Stanley J. Nelson. Wheeler’s Dental Anatomy, Physiology, and Occlusion. 8th edition. 2003. ISBN 0-7216-9382-2.
  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tajino kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.