Takakura (20 Septemba, 116130 Januari, 1181) alikuwa mfalme mkuu wa 80 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Norihito, na alikuwa mwana wa nne wa Tenno Go-Shirakawa. Mwaka wa 1168 alimfuata mpwa wake, Tenno Rokujo, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1180. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Antoku. Baadaye, mwana wake wa nne Go-Toba alikuwa mfalme 1183-1198.

Mchoro wa Takakura

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Takakura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.