Takuya Aoki
Takuya Aoki (青木 拓矢, Aoki Takuya, alizaliwa 16 Septemba 1989 huko Takasaki, Gunma) ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Japani ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya FC Gifu inayoshiriki Ligi ya J3.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Stats Centre: Takuya Aoki Facts". Guardian.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Juni 2012. Iliwekwa mnamo 15 Mei 2009.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Takuya Aoki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |