Tala, Kenya

(Elekezwa kutoka Tala)


Tala ni mji wa Kenya ambao umeunganika na Kangundo katika halmashauri moja kubwa (ya tisa nchini).

Tala
Nchi Kenya
Kaunti Machakos
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,734
Tala, Kenya

Tala ni kata ya kaunti ya Machakos, Eneo bunge la Matungulu[1].

Tanbihi hariri