Tamasha la Afringi

Tamasha la Afringi ni tamasha la kila mwaka linalosherehekewa na machifu na watu wa Eneo la Jadi la Yeji katika Mkoa wa Bono Mashariki, uliokuwa awali sehemu ya Mkoa wa Brong-Ahafo wa Ghana. Kawaida husherehekewa kwa uamuzi wa mababu.[1]


Sherehe

hariri

Wakati wa tamasha, wageni hukaribishwa kushiriki chakula na vinywaji. Watu huvaa nguo za kitamaduni na kuna durbar ya machifu. Pia kuna kucheza na kupiga ngoma.[2]

Marejeo

hariri
  1. "National Commission on Culture - Ghana - Brong Ahafo Region". www.s158663955.websitehome.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
  2. "Major Festivals". www.ghanaembassyiran.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.