Tamasha la Ahumkan

Tamasha la Ahumkan ni tamasha la kila mwaka linalosherehekewa na machifu na watu wa Kibi, Ghana katika Mkoa wa Eastern wa Ghana. Kawaida husherehekewa mwezi wa Juni.[1][2][3][4]


Sherehe

hariri

Wakati wa tamasha, wageni hukaribishwa kushiriki chakula na vinywaji. Watu huvaa nguo za kitamaduni na kuna durbar ya machifu. Pia kuna kucheza na kupiga ngoma.[5]

Marejeo

hariri
  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "International life in ghana , africa, P.O.BOX MD 1066 MADINA ACCRA GHANA, Accra (2020)". www.findglocal.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  3. "GhanaReview International--- Ghana Tourism". ghanareview.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  4. "Festivals – Slutchtours" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-18. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  5. "Major Festivals". www.ghanaembassyiran.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.