Tamasha la Akyempem

Tamasha la Akyempem ni tamasha la kila mwaka linalosherehekewa na machifu na watu wa Eneo la Jadi la Agona katika Mkoa wa Ashanti nchini Ghana.[1] Kawaida husherehekewa mwezi wa Septemba.[2][3][4][5] Muda mwingine husherehekewa mwezi wa Oktoba.[6]

Marejeo

hariri
  1. WhiteOrange. "Festivals". Ghana Tourism Authourity (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-22. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.
  2. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.
  3. Boateng, Kwabena (2015-09-12). "List of festivals in Ghana". GhanaCulturePolitics (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-20. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.
  4. "Major Festivals". www.ghanaembassyiran.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.
  5. "GhanaReview International--- Ghana Tourism". ghanareview.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.
  6. "Festivals in Ghana". touringghana.com (kwa American English). 2016-02-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-24.