Tamasha la Golibe
Tamasha la Golibe ambalo linamaanisha Kushangilia, ni tamasha linalofanyika katika Jiji la Onitsha,[1] ambalo lina lengo la kuonyesha kwa dunia historia tajiri ya kitamaduni ya jiji hilo. Ni tukio la sanaa, muziki, utamaduni, familia na jamii. Kuanzia usiku wa Krismasi hadi Mwaka Mpya, Golibe huwaleta pamoja wakazi wa Anambra na nchi zote za kusini mashariki na watu wa asili wanaotembelea kutoka Diaspora.[2]
Marejeo
hariri- ↑ How Onitsha Masquerade Looks Like - Golibe Festival 2018 (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2021-08-12
- ↑ "Culture: Obi of Onitsha inaugurates 'Golibe festival'". Vanguard News (kwa American English). 2018-12-25. Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Golibe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |