Tamasha la Gualla ni tamasha la mavuno la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Eneo la Jadi la Lambussie katika Mkoa wa Upper West wa Ghana. Kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Desemba.[1]

Marejeo

hariri
  1. "National Commission on Culture - Ghana - Upper West Region". www.s158663955.websitehome.co.uk. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Gualla kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.