Tamasha la Kloyosikplem
Tamasha la Kloyosikplem linaadhimishwa na machifu na watu wa Yilo Krobo katika Mkoa wa Mashariki wa Ghana.[1] Tamasha hili linaadhimishwa mwezi wa Novemba kila mwaka.[1]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Festivals in Ghana". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 27 Desemba 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Kloyosikplem kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |