Tamasha la Nkompo ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Acherensua-Asutifi katika Mkoa wa Ahafo, ambao hapo awali ulikuwa Mkoa wa Brong Ahafo wa Ghana. Kawaida huadhimishwa katika mwezi wa Januari.[1] Wengine pia wanasema kwamba linaadhimishwa mwezi wa Septemba.[2]


Marejeo

hariri
  1. "Festivals Ghana - Easy Track Ghana". www.easytrackghana.com. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  2. "Festivals". www.nhoc.gov.gh. Iliwekwa mnamo 2020-08-23.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Nkompo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.