Tamasha la Sango ni sherehe ya kila mwaka inayoadhimishwa miongoni mwa Wayoruba kwa heshima ya Sango, mungu wa mvua na moto ambaye alikuwa shujaa na mfalme wa tatu wa Dola la Oyo baada ya kumrithi Ajaka kaka yake mzazi.[1]

Ikijulikana kwa jina la Tamasha la Dunia la Sango mnamo mwaka 2013 na serikali ya jimbo la Oyo, Nigeria sherehe hii hufanyika kila mwaka mwezi wa Agosti katika ikulu ya Alaafin wa Oyo na pia kuadhimishwa katika nchi zaidi ya arobaini kote ulimwenguni.

Marejeo

hariri
  1. Oluseye Ojo. "Magic, thunder as tourists storm Oyo for Sango festival", The Sun, 2 October 2014. Retrieved on 10 August 2015. Archived from the original on 26 August 2015. 
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Sango kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.