Tamasha la Umatu
Tamasha la Umatu ni moja ya sherehe sita kuu zinazofanyika kila mwaka katika mji wa Onitsha Ado N'Idu. Sherehe nyingine ni Ajachi, Owuwaji, Ofala, Osisi-Ite na Ife-Jioku. Umatu inasherehekewa wakati mahindi ya kwanza yanapovunwa.[1] Watu hukutana na Mfalme (Obi) na viongozi wake wa kofia nyekundu (Ndiche) ili kusherehekea ustawi wa mazao ya mahindi.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Glo to sponsor Onitsha's Ofala festival for three more years". The Guardian Nigeria News (kwa American English). 2017-08-29. Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
- ↑ InlandTown (2020-08-17). "Festival Focus: Umatu". Welcome To InlandTown Online (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-08-12.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Umatu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |