Tamasha la Viazi Vipya la Igbo

Tamasha la Viazi Vipya la watu wa Igbo (linalojulikana kama Orureshi kwa lugha ya Idoma, au Iwa ji, Iri ji, Ike ji, au Otute kulingana na lahaja) ni tamasha la kitamaduni la kila mwaka linaloadhimishwa na watu wa Igbo,Nigeria mwishoni mwa msimu wa mvua mapema mwezi wa Agosti.[1][2][3]


Marejeo

hariri
  1. Yam Festival. Retrieved 11 May 2009. Archived 4 Aprili 2009 at the Wayback Machine
  2. Daniels, Ugo. African Loft. 6 November 2007. Iwa ji Ofu (New Yam Festival) In Igboland!. Retrieved 11 May 2009.
  3. Onwutalobi, Anthony-Claret. "New Yam Festival - The Official Nnewi City Portal". www.nnewi.info. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-09. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Viazi Vipya la Igbo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.