Tamasha la Yagle-Kuure

Tamasha la Yagle-Kuure ni tamasha la kila mwaka linaloadhimishwa na machifu na watu wa Tindongsobligo karibu na Bolgatanga katika Mkoa wa Upper East wa Ghana. Kwa kawaida huadhimishwa katika miezi ya Januari na Februari.[1][2][3][4]


Marejeo

hariri
  1. "Tindonsobligos celebrate Yagle-Kuure Festival". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). 22 Januari 2003. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Upper West Region". touringghana.com (kwa American English). 2016-02-24. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  3. "'Use festivals to promote culture, social identify'". www.s158663955.websitehome.co.uk. National Commission on Culture – Ghana. Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  4. "Tindonsobligos celebrate Yagle-Kuure Festival". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-21.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tamasha la Yagle-Kuure kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.