Open main menu

Tambach ni mji wa Kenya katika kaunti ya Elgeyo-Marakwet.

Umeunganika na mji wa Iten na kuwa na wakazi 44,448 kwa jumla wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

TanbihiEdit

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.