Tamentfoust

Jiji nchini Algeria

Tamentfoust kwa jina la zamani ni Rusguniae ya koloni ya Ufaransa nchini Algeria ni eneo la wilaya ya Dar El Beïda ya Algiers nchini Algeria.

Majina

hariri

Jina la kirumi Rusguniae ni jina lililotokana na kubadilisha majina yote ya kihaini kwa kilatini ikiwa na maana ya ndege (Francolin).Jina la Francolin humaanisha ndege, na linahusisha Guba ya [[Matifou.Claudius Ptoleml, Hellenization na jina kama Rhoustónion .[1] na chanzo chake kinajulikana kama Rusgume.[2] Rugunie, [3]Na Rusgimia[4] Jina hilo la kifaransa La Pérouse, halisi kama "Perugia" liki muenzi mtafiti na afisa wa jeshi la maji Jean-François de Galaup, comte de La Pérouse; Jean-François de Galaup ambae ndiye mfumbuzi wa jina.

Tamentfoust ni lugha ya Amazigh, kwa upande mwingine ni jina kutoka kwa Guba lenye uhusiano wa kiAlgiers.Jina la sasa la Guba ,Matifou ni lugha kutoka karne ya 14 lenye asili ya kispania.

Marejeo

hariri
  1. Ptol., [[Ptolemy's Geography|]]Geogr., Book IV, Ch. ii, §6.
  2. [[Ravenna Cosmography|]]Rav. Cosmogr., 40.43.
  3. [[Ravenna Cosmography|]]Rav. Cosmogr., 88.13.
  4. [[Guido of Pisa|]]Guido, Geogr., 132.22.