Tanga (chombo)
Kwa matumizi mengine ya jina hili angalia Tanga (maana)
Tanga ni kipande kikubwa cha kitambaa kinachopokea nguvu ya upepo na hivyo kuwezesha chombo cha kusafiria majini kusogea.
Tanga inafungwa kwenye mlingoti wa jahazi au merikebu na kasi ya upepo inaleta shindikizo kwenye uso wake na hivyo kusababisha mwendo wa chombo chote.
Viungo vya NjeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
- Sailboats database: sailing yacht specifications worldwide
- Sail Design Software
- The quest for the perfect sailshape Archived Machi 2, 2012 at the Wayback Machine.
- FABRIC Sail Design Software Archived Novemba 10, 2008 at the Wayback Machine.
- Laminated Sails: Doyle Stratis Archived Machi 14, 2012 at the Wayback Machine.