Tanzanian Women's Premier League

Ligi Kuu ya Wanawake ya Tanzania, inayojulikana kama Ligi Kuu ya Wanawake Serengeti Lite, ni ligi kuu ya soka ya wanawake nchini Tanzania. Mashindano haya yanasimamiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Ligi ya kwanza ya wanawake ya Tanzania iliandaliwa msimu wa 2016-17. Mshindi wa toleo la kwanza alikuwa Mlandizi Queens.

Mrejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Tanzanian Women's Premier League kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.