Tarcisio Isao Kikuchi

Tarcisio Isao Kikuchi, S.V.D. (菊地 功, alizaliwa 1 Novemba 1958) ni askofu mkuu wa Kikatoliki kutoka Japani ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Tokyo tangu 2017 na rais wa Caritas Internationalis tangu Mei 2023.

Tarcisio Isao Kikuchi

Alihudumu kama Askofu wa Niigata kuanzia 2004 hadi 2017. Kabla ya hapo, alifanya kazi kama mmisionari nchini Ghana.

Kikuchi ni mwanachama wa shirika la Wamisionari wa Neno la Mungu.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Archbishop Kikuchi: In tune with the Pope and Card. Filoni for mission in Japan". 19 Septemba 2017. Iliwekwa mnamo 27 Oktoba 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.