Tarik Bendamou ni mchezaji wa soka wa Morocco. Kawaida anacheza kama mshambuliaji. Bendamou kwa sasa anachezea Moghreb Tétouan.

Tarik Bendamou
Youth career
?–2004Raja Casablanca
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
2004–2006Raja Casablanca
2006–2008Kawkab Marrakech
2008–2009R. Charleroi S.C.
2009–Moghreb Tétouan
Timu ya Taifa ya Kandanda
2004–2005Morocco U-2014(5)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 16 Aprili 2009.

† Appearances (Goals).

‡ National team caps and goals correct as of 17 Oktoba 2008

Bendamou alicheza katika timu ya Morocco katika Mashindano ya Vijana ya FIFA ya Mwaka 2005 huko Uholanzi.[1]

Marejeo hariri

  1. Tarik Bendamou FIFA competition record
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarik Bendamou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.