Tariro Mnangagwa
Tariro Washe Mnangagwa (kuzaliwa 1986) ni mwigizaji wa kike wa Zimbabwe. [1]
Anafahamika kwa uhusika wake katika filamu ya Gonarezhou ya mwaka 2020. Ni miongoni mwa watoto wa rais wa sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa.
Maisha yake
haririAlizaliwa mwaka 1986 nchini Zambia akiwa mdogo kuliko Watoto wote wa kike katika familia ya Watoto sita. Baba yake Emmerson Mnangagwa ni raisi wa tatu na wa sasa wa Zimbabwe. Mama yake alikuwa Jayne Matarise aliyefariki tarehe 31 Januari 2002 kwa saratani ya kizazi. Tariro anandugu watano: Farai, Tasiwa, Vimbayi, Tapiwa, na Emmerson Tanaka. Baadaye baba yake alimuoa Auxillia Mnangagwa na kupata Watoto watatu, Emmerson Jr. na mapacha Sean na Collins.[2]
Kazi yake
haririTariro alipata stashahada ya upigaji picha Cape Town. Pia alihitimu chuo kikuu cha Cape Peninsula katika fani ya uongozi wa michezo. Baada ya kurejea Zimbabwe, Tariro alijiunga na kikundi cha Akashinga kinacho pinga uwindaji haramu na kisha kuwa mwanachama wa taasisi ya International Anti-Poaching .[3][4] Mda mchache baadae alialikwa kucheza filamu ya Gonarezhou iliyotayarishwa na Sydney Taivavashe .[5]
Filamu hiyo ilitayarishwa kwa ushirikiano wa hifadhi za Wanyama pori za Zimbabwe. [6] Katika Filamu hyo, Tariro aliigiza kama 'Sergeant Onai'. [7]
Marejeo
hariri- ↑ "Like Father Like Daughter……Meet ED's Youngest Daughter". iharare. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-19. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Phiri, Gift (2018-03-23). "Mnangagwa family disclosures raise eyebrows". Nehanda Radio (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-04-03.
- ↑ "All female anti-poaching combat unit". theguardian. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Zimbabwe: Mnangagwa Daughter Joins Elite Anti-Poaching Unit". allafrica. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "President Emmerson Mnangagwa's Daughter Tariro To Feature In An Anti-Poaching Film". pindula. Iliwekwa mnamo 19 Oktoba 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ comments, Blessing Masakadza • 2 October 2018 1:59PM • 0. "ED's daughter in anti-poaching film". DailyNews Live. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-20. Iliwekwa mnamo 2019-03-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: numeric names: authors list (link) - ↑ "Mnangagwa's daughter in anti-poaching film". Bulawayo24 News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-01. Iliwekwa mnamo 2019-03-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tariro Mnangagwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |