Taruga

Eneo la kiakiolojia nchini Nigeria

Taruga ni eneo laa kiakiolojia nchini Nigeria maarufu kwa vitu vya kale vya utamaduni wa Nok ambavyo vimegunduliwa huko, vingine vilianzia mnamo mwaka 600 KK, na kwa ushahidi wa utendakazi wa mapema sana wa zama za chuma. Eneo hilo ni takribani kilomita 60 kusini mashariki mwa Abuja, katika Ukanda wa Kati. [1]

Sanamu ya Nok terracotta
Eneo la utamaduni wa Nok nchini Nigeria. Taruga iko kusini mashariki mwa Abuja

Marejeo

hariri
  1. Nicole Rupp, James Ameje & Peter Breunig (2005). "NEW STUDIES ON THE NOK CULTURE OF CENTRAL NIGERIA" (PDF). Journal of African Archaeology. 3 (2): 283–290. Iliwekwa mnamo 2011-01-09.
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taruga kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.