Tatiana Rynearson

Mtaalam wa bahari ya Amerika

Tatiana Rynearson ni raia wa Marekani ambaye ni mchunguzi wa masuala ya baharini na profesa wa chuo cha kisiwa cha Rhode[1].Utafiti wake ulihusiana na wingi wa mgandamizo wa mashua.Reynearson alikuwepo kwenye badhi ya tafiti,zikiwemo safari ya kuelekea bahari ya kaskazini, guba ya Mexico na kaskazini mwa bahari ya Atlantiki.

Tatiana Rynearson katika Taasisi ya Metcalf
Tatiana Rynearson katika Taasisi ya Metcalf

Marejeo hariri

  1. "Tatiana Rynearson". Graduate School of Oceanography (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-05-31. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tatiana Rynearson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.